Matukio mbali mbali katika picha ufunguzi wa machinjio ya vingunguti jijini Dar Es Salaam
![]() |
Mawaziri Ummy Mwalimu na Mwigulu Nchemba wakisoma vielelezo vilivyowasilishwa na diwani wa kata hiyo |
![]() |
Naibu Meya wa manispaa ya ilaya ambaye ndio Diwani wa kata ya vingunguti Omary Kumbilamoto akiongea kwenye mkutano huo |
![]() | ||
Wanachama wa Umoja wa wafanyabiashara hao waliwasikikiliza
mawaziri hao
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni