![]() |
| Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (kuashoto) akiingia ukumbini kushiriki katika kikao hicho |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akiongoza shamra shamra baada ya yeye na viongozi wenzake kuwasili ukumbini kwa ajili ya kikao hicho. |
![]() |
| Wajume wakiwa wamesimama kumlaki Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete baada yeye na viongozi wenzake kuwasili ukumbini kwa ajili ya kikao hicho cha NEC hapo jana. |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein akijadili jambo na Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa, Rais Dk. John Magufuli wakati wa kikao hicho cha NEC kilichofanyika jana. |
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akitoa taarifa ya maandalizi ya mkutano mkuu maalum wa CCM utakaofanyika leo, Julai 23, 2016, wakati wa kikao hicho cha NEC. |
![]() |
| Katibu wa NEC Itikasi na Uenezi na Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka wakijadiliana jambo wakati wa kikao hicho cha NEC. |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana wakati wakijadili jambo wakati wa kikao hicho cha NEC kilichofayika jana. |
![]() |
| Viongozi wa Meza Kuu wakiwa wamesimama kuwaunga mkono wajumbe waliosimama na kuamsha shamrashamra baada ya jina la Rais Dk John Magufuli kupitishwa na wajumbe katika kikao hicho cha NEC. |
![]() |
| Wajumbe wakiwa wamesimama kwa shamrashamra hizo. |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa Rais Dk. John Magufuli akitoa neno la shukurani baada ya jina lake kupitishwa na wajumbe wa NEC wakati wa kikao hicho cha NEC. |
![]() |
| Makatibu wa NEC wakiwa kazini kuhakikisha kila jambo la muhimu la kwenye kikao hicho linanukuliwa vema. |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akionyesha katarasi itakayotumiwa na wajumbe wa mkutano Mkuu Maalum wa CCM kupiga kura. |
![]() |
| Juma Borafya kutoka Zanzibar akisimama baada ya kuteuliwa kukubali au kukataa jina la Dk. Magufuli litakapowasilishwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. |
![]() |
| Mjumbe wa NEC, Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha akitoa neno la shukrani mwishoni mwa kikao hicho hapo jana. |
![]() |
| Wajumbe wakiwa ukumbini. |
![]() |
| Mweneyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akimpongeza Nahodha kwa neno lake la shukurani. |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akionyesha furaha yake kabla ya kufunga kikao hicho baada ya ajenda kumalizika hatua kwa hatua. |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akikifunga kikao hicho cha NEC ambacho ni cha mwisho kwake kama Mwenyekiti, PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO, |




























Hakuna maoni:
Chapisha Maoni