![]() |
Rais John Pombe Magufuli akiwa na Waziri mkuu Kassim
Majaliwa, Naibu Spika Tulia Ackson, Mbunge wa Iringa Mch. Peter Msigwa na Mstahiki
Meya wa jiji la Dar es salaam Isaya Charles Mwita katika hafla ya uzinduzi wa mpango wa ugawaji madawati
uliofanyika leo katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam.
|

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni