Ijumaa, 22 Aprili 2016

Kazakhastan yapitisha sheria ya kuwa hasi wanaume wanao baka watoto ili kukomesha tabia hiyo na kulinda haki za watoto.

Sheria mpya imeidhinishwa nchini Kazakhstan inayoruhusu utumiaji wa kemikali ya kuhasi ili kuwaadhibu watu waliopatikana na hatia ya kufanya ngono na watoto.
Hatua hiyo ni mojawapo ya sheria mpya kulinda haki za watoto.
Afisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa Kazakhstani imesema kuwa visa vya watu wanaopenda kufanya ngono na watoto vimeongezeka kwa asilimia 50 mwaka uliopita.
Lakini wataalam wanasema kuwa kuhasi hakuna madhara makubwa, hakudumu, hulazimika kurejelewa na ni ghali

kwa mujibu wa wataalamu kitendo cha kuhasi wanaume ni rahisi zaidi ikilinganishwa na wanawake

Je sheria hiyo itasaidia kuwakomesha wanaume wakware?????????????????????

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni