Jumanne, 6 Desemba 2016

Serikali yatangaza Mradi wa Ajira ya Dharura Sekta ya Afya, jumla ya watumishi 192 wanahitajika katika Halmashauri 40!!.



TANGAZO LA KAZI
MRADI WA AJlRA YA DHARURA KATlKA SEKTA YA AFYA

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepata kibali champango wa Ajira ya dharura kwa wataalamu wa "fani za Tabibu na Wauguzi.Mpango huutaendeshwa chini ya mradi, kwa ufadhili wa fedha za Mfuko wa CDC, Award No5U2GGH001062-03 kwa muda wa miaka miwili. 

Mradi utaajiri watumishi 192 ambao watapangiwa kufanyakazi kwenye halmashauri za wilaya 40 zenye uhaba mkubwa wa watumishi wa kutoa huduma za afya hasa kwa waathirika wenye virusvya UKIMWI. Watumishi hawa watalipwa mishahara na stahiki nyingine kwa kufuata taratibu na kanuni za serikali. Watumishi wanaotakiwa ni Tabibu Wasaidizi (Clinical Assistant) 95 wenye ngazi ya Astashahada (Certificate in Clinical Medicine) na Wauguzi (Enrolled Nurses) 97 wenye ngazi ya Astashahada (Certificate in Nursing and midwifery). 

Wizara inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa zilizotajwa hapo juu, wawe na cheti cha kumaliza kidato cha nne pamoja na cheti cha taaluma aliyosomea kutoka kwenye chuo kinachotambuliwa na serikali. Barua ya maombi ioneshe wilaya ambayo mtumishi atapenda apangiwe kufanyakazi kati ya wilaya zilizopendekezwa hapo chini. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 14/12/2016.

Maombi yote yatumwe kwa:-

Katibu Mkuu
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
6 Samoral Machel Avenue, 
S.L.P 9083,
11478, Dar es Salaam.
Tanzania
05/12/2016

Orodha ya Halmashauri za Wilaya na idadi Watumishi waliopendekezwa.
Na.
Mkoa
Halmashauri  (Wilaya)
Tabibu Wasaidizi
Wauguzi Wasaidizi
Jumla
1
Arusha
1. Arusha CC
3
3
6
2
Dar es Salaam
2. Ilala MC
3
3
6
3. Kinondoni MC
3
3
6
4. Temeke MC
3
3
6
3
Dodoma
5. Dodoma MC
2
3
5
4
Geita
6. Geita DC
2
2
4
5
Iringa
7. Mufindi DC
3
3
6
8. Iringa MC
2
2
4
6
Kagera
9. Bukoba DC
3
3
6
10. Muleba DC
2
2
4
7
Kigoma
11. Kigoma Ujiji MC
2
3
5
8
Kilimanjaro
12. Moshi DC
3
3
6
9
Lindi
13. Lindi MC
2
2
4
10
Mara
14. Musoma MC
2
2
4
15. Rorya DC
2
2
4
11
Mbeya
16. Chunya DC
2
2
4
17. Kyela DC
3
3
6
18. Mbarali DC
2
2
4
19. Mbeya CC
3
3
6
20. Mbeya DC
3
3
6
21. Mbozi DC
2
2
4
22. Rungwe DC
2
2
4
12
Morogoro
23. Morogoro MC
3
3
6
13
Mwanza
24. Nyamagana MC
3
3
6
25. Sengerema DC
2
2
4
14
Njombe
26. Njombe TC
2
2
4
27. Wanging'ombe DC
2
2
4
15
Rukwa
28. Sumbawanga DC
2
2
4
29. Sumbawanga MC
2
2
4
16
Ruvuma
30. Mbinga DC
2
2
4
31. Songea MC
2
2
4
17
Shinyanga
32. Kahama DC
2
2
4
33. Kahama TC
3
3
6
34. Shinyanga MC
2
2
4
18
Tabora
35. Igunga DC
2
2
4
36. Nzega DC
2
2
4
37. Tabora MC
3
3
6
19
Tanga
38. Korogwe TC
2
2
4
39. Muheza DC
2
2
4
40. Tanga CC
3
3
6
Jumla
95
97
192

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni