
hao ni baadhi ya wakazi na watumiaji wa vyombo vya moto wa jijini dar es salaam wakiwa wameshika mabango yanayo onesha makosa yao yanayohusu matumizi mabaya ya barabara, picha hizo zimekua zikizagaa katika mitandao ya kijamii hususani WhatsApp,
Je utaratibu huu ambao kwa mara ya kwanza tunaushudia nchini Tanzania unaweza kuwafanya wakosaji kujisikia aibu na kuto rudia tena kujihusisha na makosa ya matumizi mabaya ya barabara au je picha hizo zinasaidia wengine kujifunza kupitia hao???
kama itasaidia je ni kivipi? Katika Mabango hayo tunaona vitu vifuatavyo namba ya RB, Umri, kazi, kabila,dini,eneo unaloishi na namba
za gari
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni