Jumatatu, 14 Machi 2016

Hizi ni choko choko dhidi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Ndg Paul Makonda,



Picha hiyo ya kwanza inamuonesha Mh. Paul Makonda akiwa amelala huku wenzie wakiendelea kujisomea kama ambavyo maandishi yamejieleza katika



Makonda amejipatia umaarufu mkubwa sanjari na kua gumzo kila kona kutokana na pendekezo lake la kutolipa nauli kwa walimu walio ajiriwa serikalini shule za msingi na sekondari jijini dar es laam, 

pendekezo ambalo limeungwa mkono na baadhi ya walimu wakiwemo wadau mbalimbali wa elimu nchini huku baadhi ya walimu, viongozi na wadau wa elimu wakieleza kua pendekezo hilo ni udhalilishaji dhidi ya walimu kwa kua pendekezo hilo linaleta hisia kua walimu hawana uwezo, 

tumeshuhudia misemo kadhaa ikionyesha jinsi hali itakavyo kua baada ya walimu kuanza kutumia vitambulisho hivyo maalumu vitakavyo wawezesha kupanda daladala bure,


huo ni mfano wa maandishi ya daladala yakionyesha kejeli dhidi ya mpango huo wenye nia ya kuwawezesha walimu kupunguza mzigo wa matumizi ya fedha kwa ajili ya kulipa nauli ambapo inaelezwa kwa wastani walimu jijini dar es salaam hutumia kiasi cha sh. 3000 kwa siku kwa ajili ya usafiri tu 

MAK1
















Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza leo na waandishi wa habari, Dar es salaam wakati alipozungumzia mpango wa kuwasafirishwa walimu bure jijini humo (kulia) ni Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Madereva, Shabani Mdemu na Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Daladala Dar es Salaam, (Uwadar),William Masanja.

MAK2













Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wa pili (kushoto)  akimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Chama  Wamiliki wa Daladala Mkoa wa Dar es salaam, Said Mabrouk  wakati akizungumzia mwitikio wa wamiliki hao kuhusu kuwasafirisha  walimu ili kuunga mkono mpango wa Rais Dk. John Pombe Magufuli katika kutoa elimu bure hapa nchini
mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda,

Kila la kher Mh. Poul Makonda katika utekelezaji wa majukumu yako 





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni