hii hapo chini ni taarifa ya upotoshaji ambayo imekua kisambazwa katika mitandao mbali mbali ya kijamii kama facebook,whatsApp
TAHADHARI
Mamlaka ya hali ya hewa ya taifa inatahadhaisha watu wote kuwa PATAKUWA NA JOTO
LILILOKITHIRI kwa siku kadhaa kuanzia kesho 20/03/2016 kutokana na sababu za
kijiografia za jua kuwa katikaki ya ikweta hivyo patakuwa na 1.JOTO KALI SANA KUPINDUKIA
2. WATU KUANGUKA SABABU YA JOTO
MNAOMBWA KUNYWA SANA MAJI KUANZIA LITA 3 [kiwango cha chini]
KUPUNGUZA ULAJI WA NYAMA NA BADALA YAKE MLE SANA MBOGA ZA MAJANI NA MATUNDA
KUWEKA MAJI YALIYOWAZI NDANI YA VYUMBA ILI KUHIFADHI OKSIJENI
KUPIMA PRESHA MARA UJISKIAPO TOFAUTI
KUKAA NDANI (epuka safari zisizo na ulazima) HASA MIDA YA SAA SITA MCHANA MPAKA SAA TISA MCHANA
JOTO LINATARAJIA KUFIKA 40 DEGREES CELCUS

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni