Jumatatu, 11 Aprili 2016

Waziri wa kilimo ahukumiwa kifungo cha miaka 10 gerezani kwa kosa la kupanga njama ya kuuza kipande cha ardhi mali ya umma

Aliekuwa Waziri wa kilimo bwana Salah Helal na msaidizi wake watatumikia kifungo cha miaka 10 gerezani kwa kupanga njama ya kuuza kipande cha ardhi cha umma
Aliyekuwa Waziri wa kilimo bwana Salah Helal na msaidizi wake watatumikia miaka 10 gerezani kwa kupanga njama ya kuuza kipande cha ardhi cha umma kwa mfanyibiashara mmoja kwa bei ya chini mno.
Aidha wawili hao walipigwa faini kubwa kufuatia upande wa mashtaka kupata ushahidi wa mfanyibiashara husika.
Waziri huyo wa zamani alikamatwa muda mchache tu baada ya kujiuzulu mnamo mwezi Septemba mwaka uliopita
Kashfa hiyo ilisababisha kuporomoka kwa serikali ya waziri mkuu bwana Ibrahim MahlfBoth.
Mfanyibiashara huyo na mpatanishi wake walisamehewa kifungo baada ya kukubaliana na mahakama kutoa ushahidi dhidi ya waziri
Waziri huyo wa zamani alikamatwa muda mfupi baada ya kutangaza kujiuzulu mnamo mwezi septemba mwaka jana

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni