Jumanne, 12 Julai 2016

Waziri Ummy Mwalimu, akutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Alexander Leveque ambaye muda wake unaisha hivi karibuni!!


Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Alexander Leveque ambaye muda wake unaisha hivi karibuni.



Waziri Ummy Mwalimu akimsikiliza Balozi Leveque. 

Balozi Leveque akiongea na Waziri Ummy Mwalimu ofisini kwake wizara ya Afya.Balozi Leveque amesema nchi ya Canada itaendelea kuisaidia Tanzania kupitia mfuko wa pamoja "Basket Fund" katika kuimarisha huduma za afya nchini hususani afya ya Uzazi wa Mpango.
Balaozi wa Canada akiongea na waziri Wa afya Ummy Mwalimu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni