Timu ya mpira wa mguu ya
Malawi ambayo imeingia kambini jana leo imeanza kujiwinda na mchezo wake wa kufuzu
kombe la Afrika dhidi ya Guinea mechi ambayo itachezwa mwezi Machi.
Kujiwinda huko kumeanza
na wachezaji wa ndani na mazoezi hayo ya nafanyika katika uwanja wa Chiwembe ,
jijini Blantyre.
Kocha mkuu wa timu hiyo
Ernest Mtawali katika mazungumuzo yake na mwandishi mwakilishi wa Blog hii
nchini Malawi Mkali Banda, alisema anakazi yakuwajenga wachezaji wake katika nyanja
zote za mpira.
Wachezaji walipimwa afya
zao hapo jana na wote walikua na afya nzuri , pia wakati wa kuwajaribu wana ndinga
hao hapo jana kocha alisema, wote wako vizuri na anaimani kua atakua na kikosi
kizuri.
“Wachezaji wote
wameanza vizuri richa ya kua na mapumuziko marefu ya msimu wa ligi kuu. Uwezo
wao ni mkubwa m’no naamini ya kwamba tutakua na kikosi kizuri”alisema Mtawali.
Timu ya Malawi itarajiwa
ku cheza na Guinea tarehe 25, march huko Conakry na baada ya siku nne watarudia
mchezo huo Malawi.
Wachezaji wanao cheza
soka la kulipwa nje wanatarajiwa ku ungana na wenzao mnamo tarehe 27 mwezi huu,
kulinga na taarifa za shirikisho la mpira wa mguu Malawi.
Wachezaji waliwo itwa
kuingia kwambini wako kama ifuatavo
WACHEZAJI WA NDANI
Goalkeepers
1. Brighton
Munthali –
Silver Strikers
2. Ernest Kakhobwe
– AZAM Tigers
3. John
Soko
– Blue Eagles
Defenders
1. John Lanjesi
– CIVO Utd.
2. Wonderful
Jeremani – Silver Strikers
3. Yamikani
Fodya
– Nyasa Bullets
4. Miracle
Gabeya
– Nyasa Bullets
5. Pilirani
Zonda
– Nyasa Bullets
6. Stanley
Sanudi
– Be Forward Wanderers
7. Francis
Mulimbika –
Be Forward Wanderers
Midfielders
1. John
Banda
– Blue Eagles
2. Isaac
Kaliati
– Be Forward Wanderers
3. Ernest
Tambe
– Be Forward Wanderers
4. Dan Msimuko
– CIVO Utd.
5. Dalitso
Sayilesi
– Nyasa Bullets
Strikers
1. Chiukepo Msowoya
– Nyasa Bullets
2. Jabulani
Linje
– Be Forward Wanderers
3. Schumacher
Kuwali – Blue Eagles
WACHEZAJI WANAO
CHEZA NJE
Goalkeepers
Charles
Swini
– GD HCB Songo
(Mozambique)
Simplex
Nthala
– Vilanculo F.C (Mozambique)
Defenders
Limbikani
Mzava
– Mpumalanga Black Aces (RSA)
Harry
Nyirenda
– Black Leopards F.C (RSA)
Midfielders
Chimango
Kayira
– Costa do Sol (Mozambique)
Robert
Ng’ambi
– Platinum Stars (RSA)
Micium
Mhone
– Jomo Cosmos (RSA)
Joseph
Kamwendo – TP
Mazembe (DR Congo)
Gerald Phiri
Junior – Township
Rollers(Botswana)
Strikers
Robin
Ngalande
– Platinum Stars (RSA)
Gabadihno
Mhango – Bidvest (RSA)
Zicco
Mkanda
– Liga Muculmana de Maputo (Mozambique)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni