TRAFFIC
CIRCULATION AT CBD
1.
Kipande cha Mtaa wa Samora kuanzia Mnara wa Askari (Askari Monument) hadi Clock
Tower, kutakuwa na mabadiliko ambayo magari yatakuwa yanaelekea Clock Tower
badala ya Askari Monument.
2.
Barabara ya Sokoine kuanzia Station hadi Makutano ya Mtaa wa Maktaba Posta Ya
Zamani Magari yatakuwa yanaelekea Uelekeo mmoja wa Station Posta ya Zamani
tofauti na ilivyo sasa Posta ya Zamani kwenda Station.
3.
Barabara ya Kivukoni Kuanzia Posta ya Zamani hadi Ferry itakuwa barabara ya
mielekeo miwili (Two Ways).
4.
Barabara ya Samora kuanzia Mnara wa Askari hadi Ocean Road Hospitali itakuwa ni
barabara ya mielekeo miwili.
5.
Daladala Zote zitakazotokea barabara za Maktaba zitakunja kulia pembeni ya
Jengo la NBC na hadi Makutano ya Mkwepu na kukunja kushoto kuingia Sokoine pale
Posta ya Zamani na baadaye kukunja kushoto kuingia Makataba na kurudi Posta
Mpya .
Key: 1.
RANGI YA NJANO - Njia ya Uelekeo Mmoja {One Way}.
2. RANGI
YA BLUE MPAUKO - Njia ya Mielekeo Miwili {Two Way}
3. RANGI
YA KIJANI - Mitaa ya Kutembea kwa Miguu Magari marufuku {Walking Streets}
4. RANGI
NYEKUNDU - Barabara za kupita Daladala
5. RANGI
YA BLUU ILIYOIVA - Barabara za DART
6. DUARA
ZA NJANO - Mzunguko {Roundabout}
7.
MSALABA WA KIJANI - Makutano yenye Taa za kuongozea Magari {Singnalized
Intersection}
Kwa
Maelezo zaidi Wasiliana na Ofisi za DART UBUNGO PLAZA GHOROFA YA KWANZA. AU.
OFISI YA MHANDISI WA MANISPAA YA ILALA NA SHOPRITE SUPERMARKET JIRANI NA KAMATA
Ni
muhimu kwa waendesha magari wote kujua habari hii muhimu !!!!
Mtaarifu
mwingine juu ya mabadiliko haya kuondoa usumbufu ifikapo siku ya Jumatatu
28/04/2014.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni